New Post

Friday, September 16, 2022

MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO NA VITENDO KADA ZA ADEM, TAA NA MWEKA ULIOFANYIKA TAREHE 14-15/09/2022,

TO JOIN OUR TELEGRAM GROUP CLICK HERE

MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO NA VITENDO KADA ZA ADEM, TAA NA MWEKA ULIOFANYIKA TAREHE 14-15/09/2022,

Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)