New Post

Friday, September 16, 2022

MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA ZA MUCE ULIOFANYIKA TAREHE 15-09-2022, IRINGA

 
TO JOIN OUR TELEGRAM GROUP CLICK HERE

 MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA ZA MUCE ULIOFANYIKA TAREHE 15-09-2022, IRINGA

Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)