New Post

Tuesday, August 9, 2022

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HOSPITALI TEULE SENGEREMA

 TO JOIN OUR TELEGRAM GROUP CLICK HERE

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Hospitali Teule Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema inaendeshwa chini ya Jimbo Katoliki la Geita ikishirikiana na Serikali Wizara ya Afya chini ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri Wilaya ya Sengerema katika utoaji wa huduma za afya kwa wananchi

Aidha katika ushirikiano huo, hospitali imepata kibali cha AJIRA MPYA trarehe 25/07/2022 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala bora chenye Kumb. Na. FA. 10/128/01/"K"/104 ya tarehe 09/06/2022

Mganga Mfawidhi wa Hospitali Teule Halmashauri ya wilaya ya Sengerema anapenda kutangaza nafasi sita za ajira kwa kada mbalimbali za afya kama ifuatavyo


DOWNLOAD HERE PDF