New Post

Saturday, August 13, 2022

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

 

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka yaUdhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA), anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 18 Agosti, 202220 Agosti, 2022 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:

DOWNLOAD HERE PDF