New Post

Friday, August 12, 2022

MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA ZA MUCO ULIOFANYIKA TAREHE 11-08-2022 MOSHI,KILIMANJARO

 TO JOIN OUR TELEGRAM GROUP CLICK HERE

MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA ZA MUCO ULIOFANYIKA TAREHE 11-08-2022 MOSHI,KILIMANJARO

Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao

NB:Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria