New Post

Saturday, July 30, 2022

Muuza Duka la Dawa (Pharmacy)

 TO JOIN OUR TELEGRAM GROUP CLICK HERE

Job Description

Kwa niaba ya Mteja wetu tunatafuta mtu wa kufanya kazi ya Kuuza Duka la Dawa  (pharmacy)

Eneo: Kigamboni – Dar es salaam

Mshahara Tsh 200,000/=

Awe na Sifa zote.

Awe amesomea kozi ya Pharmasi

Elimu Kuazia Certificate na kuendelea

Awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja (1yr) katika fani hii

Awe anaishi kigamboni

Awe mwadilifu na mwaminifu katika kazi

Tuma Cv yako 0677048600

Mwisho wa kupokea CV ni tarehe 02/08/2022

TO APPLY CLICK HERE