New Post

Friday, September 9, 2022

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

 
TO JOIN OUR TELEGRAM GROUP CLICK HERE

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

Makamu Mkuu waTaasisi ya Afrika ya Sayansi naTeknolojia ya Nelson Mandela (The Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe19 Septemba, 2022 27 Septemba, 2022 na hatimaye kuwapangia kituo cha kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

DOWNLOAD PDF HERE