New Post

Thursday, September 8, 2022

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

 
TO JOIN OUR TELEGRAM GROUP CLICK HERE


TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE), Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) na Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo (TEMDO) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19 28 Septemba, 2022 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu
usaili huo.

DOWNLOAD PDF HERE