New Post

Thursday, September 8, 2022

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

 
TO JOIN OUR TELEGRAM GROUP CLICK HERE

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Mahakama Lushoto (IJA), Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu (MNMA), Chuo cha Wanyamapori Afrika (MWEKA), Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salam (DIT), Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPCS) na Taasisi Usimamizi wa Fedha (IFM) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 14 -23 Septemba 2022 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili.

DOWNLOAD PDF HERE