New Post

Thursday, September 8, 2022

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

 
TO JOIN OUR TELEGRAM GROUP CLICK HERE

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 14 16 Septemba, 2022 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo
 yafuatayo

DOWNLOAD PDF HERE