New Post

Thursday, September 8, 2022

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

 
TO JOIN OUR TELEGRAM GROUP CLICK HERE

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI), Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT), Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD)Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) na Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa
k
uanzia tarehe 14 27 Septemba, 2022 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazwatakaofaulu usaili huo.
W
asailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

DOWNLOAD PDF HERE