New Post

Friday, July 22, 2022

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI-DEREVA II

 

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 

DEREVA II 

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino anakaribisha maombi ya Kazi kutoka kwa Watanzania wenye Sifa na Uwezo wa kujaza nafasi ya Dereva II Tangazo hili ni baada ya kupokea barua ya kibali cha Ajira Mbadala chatarehe 23/06/2022 yenye Kumb.Na.FA. 170/360/01/42 kutoka kwa Katibu Mkuu, OR - UTUMISHI

DOWNLOAD PDF HERE