New Post

Friday, July 22, 2022

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI.

 TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmshauri ya Wilaya ya Kakonko anapenda kuwataarifu waombaji wote walioomba nafasi za kazi ya Mtendaji wa Kijiji III, Katibu Muhtasi III pamoja na Dereva II zilizotangazwa kupitia tangazo la tarehe 20/06/2022 kuwa, usahili wa mchujo utafanyika tarehe 28/07/2022, usahili wa vitendo 29/07/2022 na usahili wa mahojiano utafanyika tarehe 30/07/2022 hii ni kwa nafasi za Dereva II pamoja na Katibu Muhtasi III

Aidha kwa nafasi za Mtendaji wa Kijiji Ill usahili wa mchujo wa kuandika utafanyika tarehe 31/07/2022 ambapo usahili wa mahojiano utafanyika tarehe 01/08/2022

Usahili utafanyika katika ukumbi wa Halmashauri saa mbili kamili asubuhi (2:00

DOWNLOAD PDF HERE