New Post

Wednesday, July 27, 2022

TANGAZO LA KUITWA KAZINI

 TO JOIN OUR TELEGRAM GROUP CLICK HERE

TANGAZO LA KUITWA KAZINI

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya anapenda kuwa taarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 11 Julai, 2022 hadi tarehe 13 Julai, 2022 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kuanzia tarehe 26 29 Julai 2022 Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya. Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili wanatakiwa
kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa wakiwa na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa
mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa

DOWNLOAD PDF HERE